Zab. 17:14 SUV

14 Ee BWANA, kwa mkono wako uniokoe na watu,Watu wa dunia hii ambao fungu lao li katika maisha haya.Matumbo yao wayajaza kwa hazina yako,Hushiba wana, huwaachia watoto wao akiba zao,

Kusoma sura kamili Zab. 17

Mtazamo Zab. 17:14 katika mazingira