Zab. 18:15 SUV

15 Ndipo ilipoonekana mikondo ya maji,Misingi ya ulimwengu ikafichuliwa,Ee BWANA, kwa kukemea kwako,Kwa mvumo wa pumzi ya puani mwako.

Kusoma sura kamili Zab. 18

Mtazamo Zab. 18:15 katika mazingira