Zab. 20:6 SUV

6 Sasa najua kuwa BWANA amwokoa masihi wake;Atamjibu toka mbingu zake takatifu,Kwa matendo makuu ya wokovuYa mkono wake wa kuume.

Kusoma sura kamili Zab. 20

Mtazamo Zab. 20:6 katika mazingira