9 Utawafanya kuwa kama tanuru ya moto,Wakati wa ghadhabu yako.BWANA atawameza kwa ghadhabu yake,Na moto utawala.
10 Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi,Na wazao wao katika wanadamu.
11 Madhali walinuia kukutenda mabaya,Waliwaza hila wasipate kuitimiza.
12 Kwa maana utawafanya kukupa kisogo,Kwa upote wa uta wako ukiwaelekezea mishale.