Zab. 23:4 SUV

4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,Sitaogopa mabaya;Kwa maana Wewe upo pamoja nami,Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Kusoma sura kamili Zab. 23

Mtazamo Zab. 23:4 katika mazingira