Zab. 28:4 SUV

4 Uwape sawasawa na vitendo vyao,Na kwa kadiri ya ubaya wa kufanya kwao,Uwape sawasawa na kazi ya mikono yao,Uwalipe stahili zao.

Kusoma sura kamili Zab. 28

Mtazamo Zab. 28:4 katika mazingira