4 Kwa sauti yangu namwita BWANANaye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
5 Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka,Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
6 Sitayaogopa makumi elfu ya watu,Waliojipanga juu yangu pande zote.
7 BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe,Maana umewapiga taya adui zangu wote;Umewavunja meno wasio haki.