Zab. 31:10 SUV

10 Maana maisha yangu yamekoma kwa huzuni,Na miaka yangu kwa kuugua.Nguvu zangu zinatetemeka kwa uovu wangu,Na mifupa yangu imekauka.

Kusoma sura kamili Zab. 31

Mtazamo Zab. 31:10 katika mazingira