Zab. 31:13 SUV

13 Maana nimesikia masingizio ya wengi;Hofu ziko pande zote.Waliposhauriana juu yangu,Walifanya hila wauondoe uhai wangu.

Kusoma sura kamili Zab. 31

Mtazamo Zab. 31:13 katika mazingira