5 Nalikujulisha dhambi yangu,Wala sikuuficha upotovu wangu.Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa BWANA,Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Kusoma sura kamili Zab. 32
Mtazamo Zab. 32:5 katika mazingira