18 BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo,Na waliopondeka roho huwaokoa.
19 Mateso ya mwenye haki ni mengi,Lakini BWANA humponya nayo yote.
20 Huihifadhi mifupa yake yote,Haukuvunjika hata mmoja.
21 Uovu utamwua asiye haki,Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.