Zab. 35:10 SUV

10 Mifupa yangu yote itasema,BWANA, ni nani aliye kama Wewe?Umponyaye maskini na mtu aliye hodari kumshinda yeye,Naam, maskini na mhitaji na mtu amtekaye.

Kusoma sura kamili Zab. 35

Mtazamo Zab. 35:10 katika mazingira