4 Mwe na hofu wala msitende dhambi,Tafakarini vitandani mwenu na kutulia.
5 Toeni dhabihu za haki,Na kumtumaini BWANA.
6 Wengi husema, Nani atakayetuonyesha mema?BWANA, utuinulie nuru ya uso wako.
7 Umenitia furaha moyoni mwangu,Kupita yao wanapozidishiwa nafaka na divai.