Zab. 40:10 SUV

10 Sikusitiri haki yako moyoni mwangu;Nimetangaza uaminifu wako na wokovu wako.Sikuficha fadhili zako wala kweli yakoKatika kusanyiko kubwa.

Kusoma sura kamili Zab. 40

Mtazamo Zab. 40:10 katika mazingira