2 Akanipandisha toka shimo la uharibifu,Toka udongo wa utelezi;Akaisimamisha miguu yangu mwambani,Akaziimarisha hatua zangu.
Kusoma sura kamili Zab. 40
Mtazamo Zab. 40:2 katika mazingira