Zab. 40:5 SUV

5 Ee BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingiMiujiza yako na mawazo yako kwetu;Hakuna awezaye kufananishwa nawe;Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri,Ni mengi sana hayahesabiki.

Kusoma sura kamili Zab. 40

Mtazamo Zab. 40:5 katika mazingira