Zab. 42:5 SUV

5 Nafsi yangu, kwa nini kuinama,Na kufadhaika ndani yangu?Umtumaini Mungu;Kwa maana nitakuja kumsifu,Aliye afya ya uso wangu,Na Mungu wangu.

Kusoma sura kamili Zab. 42

Mtazamo Zab. 42:5 katika mazingira