Zab. 43:2 SUV

2 Kwa kuwa Wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu; kwa nini umenitupa?Kwa nini ninakwenda nikihuzunika, adui wakinionea?

Kusoma sura kamili Zab. 43

Mtazamo Zab. 43:2 katika mazingira