Zab. 44:3 SUV

3 Maana si kwa upanga wao walivyoimiliki nchi,Wala si mkono wao uliowaokoa;Bali mkono wako wa kuume, naam, mkono wako,Na nuru ya uso wako, kwa kuwa uliwaridhia.

Kusoma sura kamili Zab. 44

Mtazamo Zab. 44:3 katika mazingira