5 Mungu amepaa kwa kelele za shangwe,BWANA kwa sauti ya baragumu.
6 Mwimbieni Mungu, naam, imbeni;Mwimbieni mfalme wetu, naam, imbeni.
7 Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote,Imbeni kwa akili.
8 Mungu awamiliki mataifa,Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.