Zab. 48:8 SUV

8 Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyoona,Katika mji wa BWANA wa majeshi.Mji wa Mungu wetu;Mungu ataufanya imara hata milele.

Kusoma sura kamili Zab. 48

Mtazamo Zab. 48:8 katika mazingira