14 Kama kondoo wamewekwa kwenda kuzimu,Na mauti itawachunga;Watu wanyofu watawamiliki asubuhi;Umbo lao litachakaa, kao lao ni kuzimu.
Kusoma sura kamili Zab. 49
Mtazamo Zab. 49:14 katika mazingira