11 Nao wote wanaokukimbilia watafurahi;Watapiga daima kelele za furaha.Kwa kuwa Wewe unawahifadhi,Walipendao jina lako watakufurahia.
Kusoma sura kamili Zab. 5
Mtazamo Zab. 5:11 katika mazingira