5 Hapo waliingiwa na hofu pasipokuwapo hofu,Maana Mungu ameitawanya mifupa yake aliyekuhusuru.Umewatia aibu,Kwa sababu MUNGU amewadharau.
Kusoma sura kamili Zab. 53
Mtazamo Zab. 53:5 katika mazingira