4 Nafsi yangu i kati ya simba,Nitastarehe kati yao waliowaka moto.Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale,Na ndimi zao ni upanga mkali.
Kusoma sura kamili Zab. 57
Mtazamo Zab. 57:4 katika mazingira