Zab. 59:13 SUV

13 Uwakomeshe kwa hasira,Uwakomeshe watoweke,Wajue ya kuwa Mungu atawala katika Yakobo,Na hata miisho ya dunia.

Kusoma sura kamili Zab. 59

Mtazamo Zab. 59:13 katika mazingira