16 Njoni, sikieni, ninyi nyote mnaomcha Mungu,Nami nitayatangaza aliyonitendea roho yangu.
17 Nalimwita kwa kinywa changu,Na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu.
18 Kama ningaliwaza maovu moyoni mwangu,Bwana asingesikia.
19 Hakika Mungu amesikia;Ameisikiliza sauti ya maombi yangu.