Zab. 68:18 SUV

18 Wewe umepaa juu, umeteka mateka,Umepewa vipawa katikati ya wanadamu;Naam, hata na wakaidi, BWANA Mungu akae nao.

Kusoma sura kamili Zab. 68

Mtazamo Zab. 68:18 katika mazingira