Zab. 68:2 SUV

2 Kama moshi upeperushwavyo,Ndivyo uwapeperushavyo wao;Kama nta iyeyukavyo mbele ya moto,Ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu.

Kusoma sura kamili Zab. 68

Mtazamo Zab. 68:2 katika mazingira