13 Nami maombi yangu nakuomba Wewe, BWANA,Wakati ukupendezao; Ee Mungu,Kwa wingi wa fadhili zako unijibu,Katika kweli ya wokovu wako.
Kusoma sura kamili Zab. 69
Mtazamo Zab. 69:13 katika mazingira