Zab. 69:2 SUV

2 Ninazama katika matope mengi,Pasipowezekana kusimama.Nimefika penye maji ya vilindi,Mkondo wa maji unanigharikisha.

Kusoma sura kamili Zab. 69

Mtazamo Zab. 69:2 katika mazingira