Zab. 69:20 SUV

20 Laumu imenivunja moyo,Nami ninaugua sana.Nikangoja aje wa kunihurumia, wala hakuna;Na wa kunifariji, wala sikumwona mtu.

Kusoma sura kamili Zab. 69

Mtazamo Zab. 69:20 katika mazingira