Zab. 69:4 SUV

4 Wanaonichukia bure ni wengiKuliko nywele za kichwa changu.Watakao kunikatilia mbali wamekuwa hodari,Adui zangu kwa sababu isiyo kweli.Hata mimi nalilipishwa kwa nguvuVitu nisivyovichukua.

Kusoma sura kamili Zab. 69

Mtazamo Zab. 69:4 katika mazingira