1 BWANA, Mungu wangu, nimekukimbilia Wewe,Uniokoe na wote wanaonifuatia, uniponye.
2 Asije akaipapura nafsi yangu kama simba,Akiivunja-vunja pasipokuwa na wa kuponya.
3 BWANA, Mungu wangu, ikiwa nimetenda haya,Ikiwa mna uovu mikononi mwangu,
4 Ikiwa nimemlipa mabayaYeye aliyekaa kwangu salama;(Hasha! Nimemponya yeyeAliyekuwa mtesi wangu bila sababu;)