Zab. 71:18 SUV

18 Na hata nikiwa ni mzee mwenye mvi,Ee Mungu, usiniache.Hata niwaeleze watu wa kizazi hiki nguvu zako,Na kila atakayekuja uweza wako.

Kusoma sura kamili Zab. 71

Mtazamo Zab. 71:18 katika mazingira