3 Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu,Nitakakokwenda sikuzote.Umeamuru niokolewe,Ndiwe genge langu na ngome yangu.
Kusoma sura kamili Zab. 71
Mtazamo Zab. 71:3 katika mazingira