8 Maana mkononi mwa BWANA mna kikombe,Na mvinyo yake inatoka povu;Kumejaa machanganyiko;Naye huyamimina.Na sira zake wasio haki wa duniaWatazifyonza na kuzinywa.
Kusoma sura kamili Zab. 75
Mtazamo Zab. 75:8 katika mazingira