Zab. 78:20 SUV

20 Tazama, aliupiga mwamba;Maji yakabubujika, ikafurika mito.Pia aweza kutupa chakula?Atawaandalia watu wake nyama?

Kusoma sura kamili Zab. 78

Mtazamo Zab. 78:20 katika mazingira