Zab. 78:8 SUV

8 Naam, wasiwe kama baba zao,Kizazi cha ukaidi na uasi.Kizazi kisichojitengeneza moyo,Wala roho yake haikuwa amini kwa Mungu.

Kusoma sura kamili Zab. 78

Mtazamo Zab. 78:8 katika mazingira