9 Ee Mungu wa wokovu wetu, utusaidie,Kwa ajili ya utukufu wa jina lako.Utuokoe, utughofiri dhambi zetu,Kwa ajili ya jina lako.
10 Kwa nini mataifa kusema,Yuko wapi Mungu wao?Kisasi cha damu ya watumishi wako iliyomwagikaKijulike kati ya mataifa machoni petu.
11 Kuugua kwake aliyefungwaNa kuingie mbele zako.Kwa kadiri ya uweza wa mkono wakoUwahifadhi wana wa mauti.
12 Uwalipe jirani zetu mara saba vifuani mwaoLaumu zao walizokulaumu, Ee Bwana.