12 Nikawaacha wakaenda kwa ukaidi wa mioyo yao,Waenende katika mashauri yao.
13 Laiti watu wangu wangenisikiliza,Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
14 Ningewadhili adui zao kwa upesi,Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu;
15 Wamchukiao BWANA wangenyenyekea mbele zake,Bali wakati wao ungedumu milele.