4 Mwokoeni maskini na mhitaji;Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu.
5 Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani;Misingi yote ya nchi imetikisika.
6 Mimi nimesema, Ndinyi miungu,Na wana wa Aliye juu, nyote pia.
7 Lakini mtakufa kama wanadamu,Mtaanguka kama mmoja wa wakuu.