Zab. 84:3 SUV

3 Shomoro naye ameona nyumba,Na mbayuwayu amejipatia kioto,Alipoweka makinda yake,Kwenye madhabahu zako, Ee BWANA wa majeshi,Mfalme wangu na Mungu wangu.

Kusoma sura kamili Zab. 84

Mtazamo Zab. 84:3 katika mazingira