11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zakeWakulinde katika njia zako zote.
12 Mikononi mwao watakuchukua,Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
13 Utawakanyaga simba na nyoka,Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
14 Kwa kuwa amekaza kunipendaNitamwokoa; na kumweka palipo juu,Kwa kuwa amenijua Jina langu.
15 Ataniita nami nitamwitikia;Nitakuwa pamoja naye taabuni,Nitamwokoa na kumtukuza;