Zab. 95:7 SUV

7 Kwa maana ndiye Mungu wetu,Na sisi tu watu wa malisho yake,Na kondoo za mkono wake.Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!

Kusoma sura kamili Zab. 95

Mtazamo Zab. 95:7 katika mazingira