Zab. 98:1 SUV

1 Mwimbieni BWANA wimbo mpya,Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.Mkono wa kuume wake mwenyewe,Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.

Kusoma sura kamili Zab. 98

Mtazamo Zab. 98:1 katika mazingira