Zab. 99:8 SUV

8 Ee BWANA, Mungu wetu, ndiwe uliyewajibu;Ulikuwa kwao Mungu mwenye kusameheIngawa uliwapatiliza matendo yao.

Kusoma sura kamili Zab. 99

Mtazamo Zab. 99:8 katika mazingira