38 Wakamwaga damu isiyo na hatia,Damu ya wana wao na binti zao,Waliowatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani;Nchi ikatiwa unajisi kwa damu.
Kusoma sura kamili Zab. 106
Mtazamo Zab. 106:38 katika mazingira