Zab. 131:1 SUV

1 BWANA, moyo wangu hauna kiburi,Wala macho yangu hayainuki.Wala sijishughulishi na mambo makuu,Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.

Kusoma sura kamili Zab. 131

Mtazamo Zab. 131:1 katika mazingira