Zab. 143:3 SUV

3 Maana adui ameifuatia nafsi yangu,Ameutupa chini uzima wangu.Amenikalisha mahali penye giza,Kama watu waliokufa zamani.

Kusoma sura kamili Zab. 143

Mtazamo Zab. 143:3 katika mazingira